Watakuja wale wachambuzi chakula cha waarabu wana misemo yao kama vile " mgongano wa kawaida" au "mwamuzi alitafsiri ile sio penalty ndio maana kuna VAR" au "mchezaji wa Singida alijirusha akijaribu kumdanganya mwamuzi na alistahili kadi"Nadhani bongo hatuchezi football wanayo cheza wengine huko duniani yaani jamaa kamdandia mchezaji wa Singida ndani ya box refa ana jiafanya haoni
Hawezi kujimwambafai tena humu jukwaani kama kipindi kile cha mwanzo. Nadhani hili sakata la tozo limechangia kwa kiasi chake.Hussein Massanza umetukimbia? Msiogope kutoa tamko kwa huu ushenzi
Ifike mda tuongee fact nje ya ushabikiWatakuja wale wachambuzi chakula cha waarabu wana misemo yao kama vile " mgongano wa kawaida" au "mwamuzi alitafsiri ile sio penalty ndio maana kuna VAR" au "mchezaji wa Singida alijirusha akijaribu kumdanganya mwamuzi na alistahili kadi"
Lengo la kutetea mwamuzi ni kwa vile analinda maslahi ya position ya utopolo.
Naisubiri hiyo Kamati ya masaa 72 ambayo Kwa baadhi ya matukio inakuwa ya masaa 720.Hussein Massanza umetukimbia? Msiogope kutoa tamko kwa huu ushenzi
Nimeleta mada yangu haikuwa hata na chembe ya ushabiki. Nashangaa Mtu anadandia sijui na Utopolo sijui Makolo. Mimi naongelea weledi wa mwamuzi na kama Mtu anataka huo ushabiki wa Kariakoo alipaswa kuanzisha Uzi wake.Ifike mda tuongee fact nje ya ushabiki
Watanzania wengi ni wapumbavu Sana.Bora wangekuwa wajinga,mjinga ni mtu hajui akijulishwa ujinga unaisha. Mpumbavu hushupaza shingo, hataki kuelewa hata akieleweshwa. Watanzania wengi hawajui kwamba hawajui.Nimeleta mada yangu haikuwa hata na chembe ya ushabiki. Nashangaa Mtu anadandia sijui na Utopolo sijui Makolo. Mimi naongelea weledi wa mwamuzi na kama Mtu anataka huo ushabiki wa Kariakoo alipaswa kuanzisha Uzi wake.