The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Hili la kwetu ni bomu Tena bomu lenyewe ni la kienyeji. " Kuleni kwa urefu wa kamba zenu"Great thinkers.
Mlio karibu na mama wa kuupiga mwingi, Mwonyeshi haka kavideo jambo aweze kujifunza kitu.
Hivi ndivyo kiongozi unapaswa kuwa siyo kupapasa na kupuliza.
View attachment 2844930
SureYooh, she is very pure and intelligent.
I have to find more about this lady.
#Machepele.
Sana. Tusinge mmiss MagufuliMmmh huyu wa Kwetu angekuwa kama huyu mama wa machakos tungepiga hatua kubwa sana!
Aha ha ha yupo makini sana and confidentHauwoni huyu mama sura yake,ongea yake anaonekana ana IQ kubwa sana..just look and listen her very careful.
Mi nimempenda bure, wallahi!Great thinkers.
Mlio karibu na mama wa kuupiga mwingi, Mwonyeshi haka kavideo jambo aweze kujifunza kitu.
Hivi ndivyo kiongozi unapaswa kuwa siyo kupapasa na kupuliza.
View attachment 2844930