Hapana sio mie ni dada yangu wa nyumbani.Mimi nilizani Emyta, any way hata sky naye yupo vizuri.
Hahaaa sikutarajia hili jibu ila category uliyoniweka nilitarajia.Kupenda vibamia...
Ni jike lenye UkeHamuwezi wote kufanana lakini japo ungeanza kwa kumuiga ktk hili,angalia avatar yake kisha angalia hii yakoumenishangaza sana kusema wewe ni mwanamke,siku zote nikikukuta nadhani wewe mwanaume kumbe jike?!
Me nilijuia ni meme[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nilizani Emyta, any way hata sky naye yupo vizuri.
Hahahahaaaaa utasifiwa tuu, ngoja mwifwa ajeWe NAHUJA ina maana tabia zangu nzuri humu jf huzionagi?
Hahaaa. Leo zamu ya Da Sky. Ila anastahili aiseee.
Mmh. Rafiki. [emoji85] [emoji85]Huyo wa kwanza hapo mkuu(emmy) ndio anastahili kupewa hizo sifa
Hao Ndio nipo nao list Moja? Hayupo demiss, hornet
Malizia basiDahh umesahau Moja napenda sana na.........
Oohh...sawa duguNi jike lenye Uke
Kipindi gani Nna Mariki mengi mpaka nasahauHahahaaaa uuu
Imebidi nicheke ila kweli nikikumbuka kipindi kile watu wanakuandama na majibu yako yakawa simple tu [emoji119] [emoji119]
Ukweli toka moyoni, huyu ndo namba 1 kwa upande wangu.Joseverest pia ni miongoni mwa wakaka ambao hawana jaziba, kumbuka wanavyomsakama kwenye ile nafasi yake lakini hatoi povu! hahahhaah
Nimebadilisha Avatar hiyo nayo vipi imekaa vizuri?Hamuwezi wote kufanana lakini japo ungeanza kwa kumuiga ktk hili,angalia avatar yake kisha angalia hii yakoumenishangaza sana kusema wewe ni mwanamke,siku zote nikikukuta nadhani wewe mwanaume kumbe jike?!
Umeona babu nilivyo na maono?Hahaaa sikutarajia hili jibu ila category uliyoniweka nilitarajia.
Kwa kweli napenda ndizi visukari
Hapa anaondoa ile dhana ya kwamba wanawake hatupendani.Mwanamke anamsifia mwanamke
Safi sana