Huyu mwanafunzi nimeshindwa kumwelewa

Wanaoanguka ndio wanaoinuka na kuwa imara.
Nampongeza sana binti huyo kwa unyenyekevu wake mbele ya Mwenyezi Mungu
 
Tushukuru kwa yote ee...tushukuru kwa yoteeee
 
Amekuwa open,hana mawazo ya hayo matokeo
 
akajaribu kilimo, wanasema 'jembe halimtupi mkulima' /
 
Ana akili sana huyo binti " mshukuru Mungu kwa kila jambo" nina imani ana Amani na faraja kubwa na Mungu atamsimamia,, Kufeli shuleni sio kufeli maisha

Mnaocheka endeleeni kumcheka ipo siku mtamuelewa,,, malipo ni hapa hapa duniani

Angekuwa ana akili sana angefeli mtihani wa NECTA?

Mungu anakuwa scapegoat tu.

Hili halina tofauti na pale Kikwete alipokwenda kwenye msiba wa wachimbaji madini waliofunikwa na udongo chini na kusema "ni kazi ya mungu".

Kazi ya mungu wakati hakuna Quality Standards watu wanaishi kwa kudra tu?

Mtu umefeli kwa sababu ya ujinga au/ na umasikini unakwenda kumsingizia mungu ambaye hata hayupo.

Halafu mediocres wanamuunga mkono.

Hapo ndo utajua huyu mungu ni "therapy on the cheap". Kauli kama hizi zinawapa moyo waja.

Maana wangetaka kuchukua responsibility zao wenyewe wangejipiga harakiri watu wengi tu.
 
huyo mwanafunzi anampenda Mungu. na anaonesha ana imani kubwa kwa Mungu wake..naja kumpa big up:llama:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…