Sharobaro la jf
JF-Expert Member
- Apr 23, 2020
- 237
- 325
Wakuu nakiri mapenzi ni kitu kingine ndio maana Mungu aliyaumba mapenzi. Kuna mwanamke ambae ninampenda sana ila tumegombana now wiki ya pili ila kakaa moyoni mwangu. Mimi ndie niliyeamua kumchunia kutokana na tabia zake alizokuwa akinifanyia ila kiukweli mawazo yananitesa muda mwingi nashinda namuwaza.
Nafahamu wanawake ni wengi najua naweza kumpata mwingine ila ukweli kwa huyu msichana nimedata nahisi hadi kuchanganyikiwa kwa mawazo.
Naombeni ushauri wakuu?
Nafahamu wanawake ni wengi najua naweza kumpata mwingine ila ukweli kwa huyu msichana nimedata nahisi hadi kuchanganyikiwa kwa mawazo.
Naombeni ushauri wakuu?