Sharobaro la jf
JF-Expert Member
- Apr 23, 2020
- 237
- 325
sawa mkuu sema umetumia sentensi tata
Ndo maana tunaambiwa hata kujifukiza ni dawa ya Corona! Maana limbwata inafanya kazi.
Endelea kumchunia Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kamsemee kwa Job NdugaiWakuu nakiri mapenzi ni kitu kingine ndio maana Mungu aliyaumba mapenzi. Kuna mwanamke ambae ninampenda sana ila tumegombana now wiki ya pili ila kakaa moyoni mwangu. Mimi ndie nilieamua kumchunia kutokana na tabia zake alizokuwa akinifanyia ila kiukweli mawazo yananitesa mda mwingi nashinda namuwaza.
Nafahamu wanawake ni wengi najua naweza kumpata mwingine ila ukweli kwa huyu msichana nimedata nahisi hadi kuchanganyikiwa kwa mawazo.
Naombeni ushauri wakuu?
mfuate mzungumze myamalizeWakuu nakiri mapenzi ni kitu kingine ndio maana Mungu aliyaumba mapenzi. Kuna mwanamke ambae ninampenda sana ila tumegombana now wiki ya pili ila kakaa moyoni mwangu. Mimi ndie nilieamua kumchunia kutokana na tabia zake alizokuwa akinifanyia ila kiukweli mawazo yananitesa mda mwingi nashinda namuwaza.
Nafahamu wanawake ni wengi najua naweza kumpata mwingine ila ukweli kwa huyu msichana nimedata nahisi hadi kuchanganyikiwa kwa mawazo.
Naombeni ushauri wakuu?
sawaaa
Njoo kondoa hapa kuna warangi wengi
kwann mkuu?
Ukirudi kwake utakachokutanacho usisite kuleta mrejesho.
daaah kweli usemacho mkuu
Shida ya hali kama hiyo mara nyingi huwa inakuwa ni upande mmoja, yaani yeye demu hakuoni hivyo jinsi wewe unavyomuona na siajabu hata moyoni mwake keshakumwaga kama hata keshawahi kukuweka , ushauri wangu utaumia bure, mwache tu asepe.
Jaribu kua busy na mambo yako..! kinachokutesa ni kua amekuacha ingawa wewe ndo bado unampenda..dah ulipaswa umsome mapema dalili hua zinaonekana tu..sasa huna namna cha msingi jitahidi use karibu na washikaji piga story japo kupoteza mawazo ikibidi Fanya kazi itakayo kufanya uchoke na kua busy..Wakuu nakiri mapenzi ni kitu kingine ndio maana Mungu aliyaumba mapenzi. Kuna mwanamke ambae ninampenda sana ila tumegombana now wiki ya pili ila kakaa moyoni mwangu. Mimi ndie nilieamua kumchunia kutokana na tabia zake alizokuwa akinifanyia ila kiukweli mawazo yananitesa mda mwingi nashinda namuwaza.
Nafahamu wanawake ni wengi najua naweza kumpata mwingine ila ukweli kwa huyu msichana nimedata nahisi hadi kuchanganyikiwa kwa mawazo.
Naombeni ushauri waku
daah sawa mkuu nimekuelewa
Jaribu kua busy na mambo yako..! kinachokutesa ni kua amekuacha ingawa wewe ndo bado unampenda..dah ulipaswa umsome mapema dalili hua zinaonekana tu..sasa huna namna cha msingi jitahidi use karibu na washikaji piga story japo kupoteza mawazo ikibidi Fanya kazi itakayo kufanya uchoke na kua busy..