Huyu mwanamke anapenda sana pesa. Kwa ufupi hakupendi

Huyu mwanamke anapenda sana pesa. Kwa ufupi hakupendi

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hakuna muda wa kuremba maneno

Mwanamke yuko tayari kuishi na mwanaume hata asiyempenda ili tu atimize hitaji lake.

Ukikamuliwa sana pesa hupendwi.

Jamaa mmoja alikuwa kila akipata shekeli lazima ampe huyo demu wake na demu anampelekea dume lake.

Siku moja rafiki wa njemba muhomgaji alimkuta demu anamwita jamaa jina la hovyo.

Na kusema hampendi. Jamaa akapitishiwa taarifa alivyopeleleza akagundua ni ukweli 100%.

Akajitenga na yule demu nyonya damu.

Kwa ufupi hakupendi, hupendwi
 
Hatupendi ila tunajifunza kupenda kadri muda unavyoenda na hizo ni jitihada za mwanaume kumfanya mwanamke akupende

Kikubwa tuwe na hisia tu na ninyi baadae tunawapendaga
 
Usimbembeleze kiumbe wa kike if she want to leave make sure you hold the door open

Linda kipato chako asikudanganye mtu eti unajijali..yes ni nani asiejijali tukiacha unafiki
 
Huo ndo ukweli unaouma


TEAM "TAFUTA HELA" kuna mwenzenu kanyonywa damu huko.
 
Sema wanawake tukipenda hatuombi pesa, kuna ka huruma fulani kanakuja.!! Sijui kwanini.?!!
Ila km hupendwi tutakuomba pesa mpk ujute.!
Huyo hakupendi niko pamoja na wewe bro
 
Back
Top Bottom