kamarah1320
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 295
- 300
Mkuu nimeachwa na demu wangu muda si mrefu Uzi huu pia umeniponza aiseeNdio maana mi siku zote nakushauri kwamba ukiopoa mademu wa kitaa ambao huna mpango nao zaidi ya kupita, usiwe unasimamia shoo sana. We umeopoa demu wa kupitisha nae siku halafu unataka upige shoo ya maana unazama mpaka chumvini ili akuone kidume. Matokeo yake ndio kugandwa sasa na ukijidai mjanja anakuendea kwa babu unakua zezeta. Mademu wa kitaa we piga shoo ya kizembe mwenyewe atakukimbia na ndio inakua pona yako mradi we umeshaosha rungu.
Hata kama hana anaenda kuitafuta popote anakuja kumbambikia mradi kashaona mshkaji anasomeka😂Mkuu huyo anataka mimba. Au ukute anayo tayari..... Ni mawazo tuuu
Analipa kodi sa mkuu sijui utakimbilia wapi hilo tayari ni zigi lakoNataka niwasiliane na Father house Nimpoze aende amwambie kwamba kodi yangu imeisha hivyo aondoke anataka Afungie Vyombo mpaka nikirudi nikishindwa kulipa anauza kufidia
HahaaaaaaBasi kwangu hatoboi kuna mmoja alikuja na Begi zima lakini akasepa
HahahaMkuu hivyo ndio huwaga wanapata nyumba za kulala bila kulipa kodi. Yaani kwa kifupi huyo ndio ushaoa.