Huyu mwanamke inapoelekea nitampiga nifungwe bure

fanya mambo yako tu hao akili zao wanazijua wenyewe.
 
Pale ulipomalizia panafurahisha
AFE BILA KUSAHAU. Hahaaa kivipi yaani mtu akifa hasau?

Kwa ufupi unampenda sana huyu mwanamke ndio maana umeshindwa kumtoa moyoni, na yeye pia anajua hilo ndio maana haachi kukufuata.

Ungekuwa humpendi na kumuonea wivu USINGEWAZA KUMUUA ILI USIONE AKIWA NA MUME MWINGINE.

Cha kufanya, amua kuachana nae aendelee na maisha yake na wewe na yako. Vinginevyo samehe mrudiane japo hili ni kosa kubwa litakutafuna maisha yako yote.

ACHANA NA HUYU MALAYA, HAKUFAI KUWA MKE. Ondoa akilini na ukubaliane na uamuzi wako. Ongea na ndugu zako juu ya nini kilitokea na unachukua uamuzi gani pia uwaambie hautaki kuona wakiwa karibu nae.

Kwanza kuwa mkweli ndani ya nafsi yako, kwamba umemwacha. Kama umemwacha acha aishi maisha yake.
 
Sasa mbona hilo ni jambo dogo sana we kaka. Yaan ukaishie jela kisa demu, we vp bana.
We tulia na maisha yako. Kuna kitu ulisahau kwenye mahusiano.
Kabla hujazama kwenye mapenzi msome mtu ukiwa na hela na wakati huna. Huyo dada huo ndio udhaifu wake yaan pesa ila hukumsoma. Na pengine wakati unauguza hukumuweka wazi.
Lakini hii story ya pande moja haina mashiko ilibidi wote muwepo ndio tungeamua vyema, tutaaminije kila kitu unachosema wewe. Manake penye kila kosa ujue kuna mahali na wewe ulikosea bro.
Endelea na life ukiweza hamia mkoa ila ukipata mwengine acha kupenda jumla, moe mtu asilimia kama 50 hv akikuletea ushenzi hutaweza kuumia kama hivyo sasa we umetoa moyo wooote unamoa mtu anaunchezea hvyo ndio mana umevurugwa yaan. Ila usimfanye chochote, msimamo wako ndio utakaomtesa siku zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P
Pole Sana kijana. Nimesoma stori yako nikaona uchungu na huruma dhidi yako kama mzazi. Nakupongeza kwa kuamua ku share. Naamini ni stori halisia, hivyo tuma ujumbe kwangu kwenye namba 0765345777 Ili haraka upate huduma ya wataalamu wa ustawi, maumivu yako yadhibitiwe kwanza, huyu ibilisi wa mauaji anakutuma siko kabisa.

Haya Mwenyezi Mungu akusaidie uamue lililo la Heri tafadhali. Una maisha mema mbele, na tazama yote yatapita na yatakuwa mapya. Uwe na ujasiri na uthubutu wa hitimisho jema🙏🏽
 
Mh. Waziri una nafasi yako peponi
 
I feel your pain mi mwenyewe nilipoteza mzazi kwa ugonjwa wa Figo kumhudumia mgonjwa wa figo ni gharama sana Mkuu usirudi nyuma
 

Nilikua naitafuta comment ya namna hii, wewe sasa ndio umenena sahihi. Na kingine mimi naona kama mwanamke angemuacha kipindi hana hizo changamoto huenda machungu yasingekuwa makali kwa namna hii. Huyu ni alivurugwa na hali ngumu ya maisha + ugonjwa wa mzazi hivyo akajumlisha machungu ya anayopitia + kuachwa. Muda umesogea sasa naamini alishajifunza wapi alikosea.
 
miaka minne iliopita bado wadau wanaendelea kutoa ushauri kwanini mwamba asitupe mrejesho kama hayupo jela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…