Huyu mwanamke inapoelekea nitampiga nifungwe bure

miaka minne iliopita bado wadau wanaendelea kutoa ushauri kwanini mwamba asitupe mrejesho kama hayupo jela?
Itakua tayari yupo nyuma ya NONDO hii ni 2024 sio 2015
 
Mkuu uliwezaje kuona Whatsup status ya mtu, kwa kuweka no. tu kwenye simu ya mtu mwingine???
nikamuomba simu nikaweka namba ya demu nikakuta wako na jamaa flan,nikacheki status nyingi wakiwa wanapika pmj
Anaweza kuona labda kwenye setting kaweka everyone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…