Huyu mwanamke Jocelyn wildenstein

Ila wanaume hapana aisee ye mzuri mwenzie ndo afanye hayo matakataka kweli alimpenda huyo mume khaa maana ukisikia maamuzi magumu ndo haya ufanane na paka kisa mume anapenda hapana kwa kweli hiyo ndoa inipite mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…