Hongera kwa kumpenda Mwanao, Aidha nimpe Mama yetu, na Dada kwa malezi mazuri ya mtoto. Lakini na wewe ulifanya haraka mno, miezi miwili tu ukawa umefahamu tabia ya Cashier na kuacha mbegu!!!
Weeee kitafute mpaka ukipate bana!!!
Alafu take it easy na Womenizer...ana point na mwenyewe nimemwelewa so na wewe jaribu kufanya hivyo!
HHEHEHEHE. kumbe ehhh!Sikuwahi kugundua hilo!
Happy bday to your lil girl, JouneGwalu, kati ya habari/thread zilizonigusa siku ya leo, ya kwanza ni ya willsmith na ya pili ni hii, Siamini kabisa kama kuna wamama wanaweza wasiwajali watoto wao kiasi cha namna hiyo,Mungu aendelee kukupa nguvu ili ufanye kazi kwa bidii ili umlee mwanao, yaani hata huko aliko anashindwa kabisa kuwaza kwamba ana mtoto mahala? kweli kizuri hakikosi kasoro. May God continues to bless you
Unapoposti maisha yako hapa tegemea na negative criticism. Inashangaza sana umeamua kushea mwenyewe halafu unataka pia kudictate aina ya maoni unayotaka kuyaona. Let me put it this way, Kama unataka michango ya aina fulani tu, basi ungeweza kuwatumia PMs hao unaodhani wataandika jinsi upendavyo.Kazi sana!
By the way sihitaji sifa yoyote,
Wala hichi ninachopokea toka kwa "wanajamvi" (ambacho wewe unaita sifa)
Sio sababu ya mimi kushirikisha wanajamvi, japo naheshimu sana hoja za wote na kunakitu napata toka kwao (wanaonisifia kwa mujibu wako).
Mkuu hili ni jukwaa la Mahusiano-Mapenzi na Uhusiano, nimemega sehemu ya mkasa ambao kwangu na binti yangu vina maana sana.
Sababu wanajamii wa JF ni kama ndugu kwangu ndio nikawashirikisha kama ambavyo nimekuwa nawashirikisha na wao wananishirikisha mambo kibao hapa jamvini.
Nisaidie, we ulitaka watu wasemeje sasa?
Ila fanya hivi, kama we unaona mizinguo si unapotezea tu.
Hii thread wame-view watu zaidi ya 60 ila walio-reply ni 32 tu (mpaka sasa).
So kama vipi na wewe pita tu kama wengine kuliko kuanza ku-discourage wengine.
Tuko pamoja Afro Denz!
Thanks vile ur there for me.
Pia ahsante kwa niaba ya Malaika wangu.
Nadhani zawadi uliyompa ni anastahili sana,
Sure yeye ni malkia, wa tunu kama hiyo.......
Najaribu kufanya perfect, japo kwa hichi nilichokabidhiwa na Mungu.
(wish nisikie stori yako pia, naamini umwanamke imara sana)
Unapoposti maisha yako hapa tegemea na negative criticism. Inashangaza sana umeamua kushea mwenyewe halafu unataka pia kudictate aina ya maoni unayotaka kuyaona. Let me put it this way, Kama unataka michango ya aina fulani tu, basi ungeweza kuwatumia PMs hao unaodhani wataandika jinsi upendavyo.