Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Me nikiitwa Denis na mzee wangu akiitwa Denny ..wewe umeanza lini kuwa mwanamke?Wewe ni ke au me?
Astaghlaf! Mkuu kumbe huyu ni Me?!Picha za vinywaji hasa pombe JF haziruhusiwi mana kuna wafia dini humu..ila kwa nini unapenda kujibadili jinsia yako
haa haa yaani ni kwa fasi ya dwasi kabisaPromo kwafasi
kapaka makeup hajajichubua kabsaa ila anamabaka meusi sio unajua camera zinasaidiaKwanza kajichubua
Wanawake wanaopenda mikato ya kiume sijatokea kuwakubali hata dakika Moja yaani sipendi tabia zaoMwanamke ila anapenda kutokelezea kama dume
Ndivyo alivyo no vitu ambavyo huwezi kujizuia ...Ni hormonesaniamba vizuri ila sipendi anavyojiweka kidume dume
okeyNdivyo alivyo no vitu ambavyo huwezi kujizuia ...Ni hormones
Umetumia vigezo gani kaona kuwa pink ni mkali kuliko chemical utachekwa ujue.