Huyu mwanamke nimemkubali sana, Polisi na Serikali zetu aibu

Hawa wapinzani uchwara dawa yao ni Lugola tu akilenga hatanii na hakukosi
 
Nakumbuk ule usemi wa mwanamashairi wa Uganda wa song of lawino and ocol "the pumpikin in the old homestead,must not be uprooted"
Pia,ulwah kua quoted na mwanazuon maarufu hap jf.Malcom Lumumba.
Ni kwamba,kwa hili la uganda, niwaombe Ukawa,km walivyofany kwa Boby wine,warudie na kwa wanawake wa Uganda against oppression.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
probably we still have a long way to go...to go where....!!only God knows!
 
miAFRICA imelaaniwa tangu kizazi chao cha kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu endelea kufafanua mbumbumbu nikuelewe
 
Ngoja nikusaidie kumuita
Cc Malcom Lumumba
 
Tunapoelekea jiwe naye atakuja kuwa hivi hivi,polisi nao hawajitambui,mishahara midogo,kazi ya kitumwa unaishia kuishi maisha ya kimaskini na laana,kwa kuonea wasio na hatia na kutekeleza amri za dikteta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…