Ndio maana yake maana huyo mama siku uvumilivu ukimshinda atamuua au atafanya madhara makubwa sana.Ahame nyumba kwa maana aachane na mkewe hata baada ya kusamehewa mara ya pili alipofumaniwa?
Hujapooza kucha! Una uhakika?mama yangu alishawahi kuniambia kuna wanawake walio pooza kucha!! ndio haoooo, utakuta ndio wanaume zao wanawaruka ukuta wao bado wametulia tu, tena wanaona kupendwa ndio huku! wanaletewa watoto ndani ya ndoa wao wanashukuru Mungu!!
Inahitaji moyo sana!! mimi sijapooza kucha like that!!
ndio maana nikasema jamaa aondoke mapema, siku huyo mama ataamka vibaya ammwagie maji ya moto kama anavyosema firstlady.Tatizo mwanaume hashikiki wala hagusiki achilia mbali hachungiki.ukijiendekeza unaweza fariki kwa presha kisa mtu m1 tu ulokutana naye ukubwani.huyo mama ameyashika vizuri mafundisho ya somoe wake.unakuwa mpole,siku ambayo haijui unachemsha maji unazipika kengele zake
huyo anataka kukufunza kisaikorojia hvyo cha msing acha kuwa kicheche wa kijinga sawa