Huyu mwanamke unaweza kumwelezeaje uzuri wake?

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
44
Unaweza kuelezeaje uzuri wa huyu mwanamke? Kwani naamini uzuri ni sehemu ya mapenzi. Ukipishana naye njiani utageuka mara ngapi kumwangalia, utachukua hatua yoyote?
 
hawa huwa hawana lolote kunako majamboz ni mashuzi tu na kupumliana pumzi
 
Uzuri wa umbo unaanzia kwenye sura ulipo mdomo, siyo matakoni kunakotoka mavi.
 
Show ya nje ndani analala kama gogo baraka ya kelele nyingi...
 
Bado naendeleza mwezi wa toba ....
Napita tu ....
 
Haya hayaaaa..... Leo mie kimyaaa, nawasikiliza wakuu mnavyo tiririka..!
 
ulemavu huo nyie hamjui tuu lol!! pole yake huyo, note too much of anything is harmful...
 
hapo naona picha mkuu sion mwanamke,after all havutii so a wnt take ma time turning aruond lookin for tht sh**t
 
Unaweza kuelezeaje uzuri wa huyu mwanamke? Kwani naamini uzuri ni sehemu ya mapenzi. Ukipishana naye njiani utageuka mara ngapi kumwangalia, utachukua hatua yoyote?
Mkuu uzuri wa hao ni kuwaangalia tu, ndani hakuna kitu zaidi ya maji mengi, harufu na kulala kama gogo. Wangekuwa wazuri unavyowaza wewe wangeolewa wengi, wembamba wasingetia mguu.
 
hapa ninafikiria jinsi jamaa yake anavyohangaika kutafuta sehemu za siri kila akitaka kudoo
 
Wanaume mna balaa...ya nini kuwa na mwanamke hata mkono haufiki kwenye 'kizomea choo' jamani,akishajisaidia anapata tabu kuchamba..ya nn haya jamani???
 
ulemavu huo nyie hamjui tuu lol!! pole yake huyo, note too much of anything is harmful...

Ndiyo maana nakupenda my dear sakapal
Wala hujataka kwenda mchina umejikubali na 'flat' yako...lol!
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo maana nakupenda my dear sakapal
Wala hujataka kwenda mchina umejikubali na 'flat' yako...lol!

hahahaaaaa weeeweeeee mambo iko huku flat screen sony wega ndo mambo yote lol
ila mpenz SnowBall huu utani karibu na kweli huu daah!.........heheheheeeee!!
 
hapo naona picha mkuu sion mwanamke,after all havutii so a wnt take ma time turning aruond lookin for tht sh**t

ya kweli hayoo? jipe fahari ya macho tu inaruhusiwa, si unajua macho hayashibi na hayana pazia? tabu kuinama uvunguni hapo ndo shida inaanzia lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…