Huyu Mwanamke wa ajabu kweli

Wanawake wengi kama sio wote wanahisi kila mwanaume ambaye sio ndugu yake anataka kumlala[emoji28]

Ikitokea amejilengesha alafu ukamkwepa akili yake itamshawishi kwamba umemshindwa au kumwogopa, wakati sie wengine tuna boundaries zetu, hawajozea kuwekwa friend zone[emoji28]

Kuna wanawake wamanichukia, wengine kuniamind na wengine kunidhalau kisa walitengeneza mazingira na sikuwala, utawala wangapi[emoji28]
 
Sema tu hajakuvutia, acha wenge hakuna cha ajabu hapo!
Ingekuwa ni kile kinanii anaemtext kila sekunde na hajibu.. Wala asingesema hawakukubaliana.

Lakin pia nadhani Kila kizuri kina gharama zake. Kuna wakati utafika utatamani utumie uanaume wako kwa faida itakuwa umechelewa. Utawaonea donge vijana wa wakat huo. Watt watasema wee mzee ujana wako ulikula na nan?
 
Pamoja na udhaifu wetu Ila vibudu tuko selective navyo saana, kwenye vibudu genye zinakuwa na ecomics mindsets tastes and preferences.

Huyo mwanamke ni bwege alipaswa akufungukie mazima.
 
Kwahiyo mkapanga siku nyingine kurekebisha makosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…