Huyu Mwanamke wa Kitanzania ni noooma, Hakuna tena Duniani!

Huyu Mwanamke wa Kitanzania ni noooma, Hakuna tena Duniani!

Duh,anatisha.
Twiga Stars wamchukue kuimarisha timu.Akipata mafunzo ya makocha mahiri anaweza kuwa msaada mkubwa
 
Jesus Christ! yani hiyo ball control ni level yakina Ronaldinho.....Nimesikitika sana huyu dada hayupo kwenye payroll za timu za wanawake ulaya au marekani......wenzake wanalipwa kati ya dola 25,000 mpaka 400,000 (Mata yule mbrazili)...Kwa mwaka...na anaweza pata fedha za endorsements....matangazo etc

Vipi uwanjani ana perform vipi (mbio, pumzi, nguvu, stamina, management ya uwanja)

...kama bado yupo below 25 years wadau wamtafutie timu huko mbele aisee. akiwezeshwa huyo mwanamke ataboresha maisha ya wengi sana katika familia yake nahata kijiji atokacho. Ikiwezekan serikali imtafutie soko-wizara ya michezo.
 
Bado yupo huyu dada?

Sijasikia habari zake kwa muda mrefu.
 
Aliwahi kuitwa Twiga Stars lakini hakuweza kuonesha lolote linaloendana na uchezaji mpira
 
Back
Top Bottom