Huyu Mwanasiasa wa Kenya, Brendah Kangai ni feminist?

Huyu Mwanasiasa wa Kenya, Brendah Kangai ni feminist?

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
IMG_8095.jpeg

Hali?

Nimeangalia video zake akimtolea Rutto maneno ya kuudhi ikiwemo matusi. Anaonekana ni binti mdogo tu

Je, huyu hasa ni nani? Ni kiongozi wa Upinzani sawa, ila nguvu anapewa na nani?
 
wakenya ni wamoja, wanajua wakimgusa kitawaka zaidi,
sisi tuendele kuishi kinafki hivihivi
 
Back
Top Bottom