Ananifahamu vizur tu afu kitu kingine ananreact kama mpenzi wake kitu ambacho syo aliniaproch ila nkamtolea nje sa me hata cmuelewi afu kingine cjifill vizuri kumsaidia mara kwa mara coz hawa wenzetu hawachelew kusema wanahongwa.
Kiukweli nampenda kama rafiki tuu..lakini kinachonikera ni kumsaidia tuu much...afu me sijisikii vizuri then me cjawahi kumuomba msaada hata cku moja
Ha ha ha ha ha ha!we manka linapokuja suala la kusaidiana unamuona rafiki yako anakudistab?kweli wanawake wa kichaga kiboko.
Haya ndo mawazo yangu coz mwanaume anakuwa hana hata aibu anaomba ombaMi natoa dedication ya "WANAUME KM MABINTI" wa Lady Jay Dee then nasema PIGA CHINI kwa kuwa hata km angekuwa ni msichana na ananifaniya mimi hayo ningempiga chini
Habar zenu wana jf..
Kuna kitu kinantatiza kuna jamaa mmja, ambae ni rafiki yangu tu wa kawaida..sasa amekuwa na tabia ambazo sizipendi naona hata nivunje urafiki wetu..yy anafanya kaz bank ya mikopo af ni hb mbayaa aliwahi ntokea nkamkataa kutokana na jinsi alivyo nahis atakuwa anashobokewa cna na mabint.
amekuwa na tabia ya kunieleza cna .matatizo hasa ya kipesa na nimekuwa nkimsaidia kma nina weza.nimefahamiana nae ni kama miezi 6 tuu imepita nlishamsaidia mara 2juzi aliniomba nimsaidie alikwama nkamwambia sipo vuzuri realy alinidistabu sana sikupenda.
Siku zikakatuka jana tena kanipigia ooh nina shida na wee ntakuonaje nkamwambia nkiwa free ntakutafuta..
Wadau huyu mtu mnafikiri nimfanyaje kwa hii tabia yake ya kunieleza matatizo yake inhali me ni rafiki yake tu.
Mankaa nyie ni watu wazima, na mmefahamiana zaidi ya miezi 6, kila mmoja ashamuonesha mwenzie mwenzi wake, huyu ni wifi yako na huyu ni shemeji yako?Ananifahamu vizur tu afu kitu kingine ananreact kama mpenzi wake kitu ambacho syo aliniaproch ila nkamtolea nje sa me hata cmuelewi afu kingine cjifill vizuri kumsaidia mara kwa mara coz hawa wenzetu hawachelew kusema wanahongwa.
Mankaa hapo huhitaji kuendelea kubaki na kero,kwanza jamaa kashakuona ATM yake,so anakutumia then one day anakufanyia kitu kitakachokuumiza sana hadi ushangae,bora ujivue gamba mapema na uache huruma. Tumia ustaarabu kujitoa.Haya ndo mawazo yangu coz mwanaume anakuwa hana hata aibu anaomba omba
Ukichukua hiyo seti nawe unakuwa mmoja wao - lolAnavutia kwa mwanamke yyte lakn cjamfill hata kidog
Maisha magumu siku hizi dada. Mtu akipata mahali pa kuegemea..
Anavutia kwa mwanamke yyte lakn cjamfill hata kidog