Me nadhan anafikiri mambo yangu mazuri coz cku tumefahamiana nlipata ajali na gari nliyoazimwa na b,frind wangu ntumie kwa cku moja labda ndivyo anavyoniona..
Siyo ishu ya uchaga hapa dia..ila jaman we mtu daily unamsaidia tuu ye hana msaada kwako wwt kwako utajifik vipi
Habar zenu wana jf..
Kuna kitu kinantatiza kuna jamaa mmja, ambae ni rafiki yangu tu wa kawaida..sasa amekuwa na tabia ambazo sizipendi naona hata nivunje urafiki wetu..yy anafanya kaz bank ya mikopo af ni hb mbayaa aliwahi ntokea nkamkataa kutokana na jinsi alivyo nahis atakuwa anashobokewa cna na mabint.
amekuwa na tabia ya kunieleza cna .matatizo hasa ya kipesa na nimekuwa nkimsaidia kma nina weza.nimefahamiana nae ni kama miezi 6 tuu imepita nlishamsaidia mara 2juzi aliniomba nimsaidie alikwama nkamwambia sipo vuzuri realy alinidistabu sana sikupenda.
Siku zikakatuka jana tena kanipigia ooh nina shida na wee ntakuonaje nkamwambia nkiwa free ntakutafuta..
Wadau huyu mtu mnafikiri nimfanyaje kwa hii tabia yake ya kunieleza matatizo yake inhali me ni rafiki yake tu.
Siyo ishu ya uchaga hapa dia..ila jaman we mtu daily unamsaidia tuu ye hana msaada kwako wwt kwako utajifik vipi
Muekye kyaa mashika shida tiifo kila andu na kuiyo nndu asauwa iwa na shida foo mankaa,thats what friends are for to help each other unless its not a genuine need.
Dada ukijisikia kumsaidia msaidie tu ,kufanyia Benki siotatizo,nyia akina dada tunawahonga sana mbona sisi hatusemi,nenda nchi jirani ya kenya msichana anavyo mpa offer boy friend wake,nyie wanawake wa kibongo nuksi kwelikweli mnataka kuchuna tu,lazima dada uwe mstaarabu, unatia aibu[/QUOTE
Aibu?anaetia aibu ni mimi au anaeomba omba hovyo..]
Uanaume haupo hiv bana