Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hujui kuwa Zimbabwe ndiko alikokuwa akitoka mmoja wa magwiji wa muziki barani Afrika, Oliver Mtukudzi?...Kumbe? Mimi siku zote huwa nadhani ni M-South Afrika. Hivi Zimbabwe nao ni mahiri kwa kuimba? Sikujua hilo
Yes lakini anaishi Africa ya kusiniMkhululi Bhebhe. Ni mzimbabwe
Ananibariki sana huyu muimbaji