Huyu mwimbaji nguli wa Muziki wa Injili anakuja wiki hii kutoka Afrika Kusini

Kumbe? Mimi siku zote huwa nadhani ni M-South Afrika. Hivi Zimbabwe nao ni mahiri kwa kuimba? Sikujua hilo
Kwani hujui kuwa Zimbabwe ndiko alikokuwa akitoka mmoja wa magwiji wa muziki barani Afrika, Oliver Mtukudzi?...

 
Wanaofanya tamasha la uimbaji wa nyimbo za injili huku wanaweka kiingilio?


Mungu anawaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…