Huyu Mwinyi Zahera atatuvusha

Huyu Mwinyi Zahera atatuvusha

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
"kufuatana na nguvu yetu tulionayo(wachezaji)inatubidi tuangalie wapi tutapata faida,tupo na ligi kuu,tupo na Azam federation cup, mapinduzi cup na Sport Pesa inabidi sisi kama yanga tuwe na malengo kwenye kitu chenye manufaa kwetu tukiamua kuyataka makombe yote tunaweza kosa yote ivyo lazma baadhi ya wachezaji wapumzike kwaajili ya ligi na ASFC" - Mwinyi Zahera.
 
Duh! Huyu mwinyi zahera zahera jukwaa zima linamuongelea yeye tu, tumechoka sasa kulisikia jina lake. si aende basi madrid akacoach!
 
Kuna mwaka waliingiza siasa eti lazima Yanga ipeleke kikosi cha kwanza kwenye Bonanza la Mapinduzi Cup.
Lazima tuweke nguvu kwenye TPL na Azam Federation Cup. Huko kwingine waende Vijana wa team B
 
Ni Muda Sasa wa TFF kuamua michuano ya Makombe mengine kuwa ya vikosi B rasmi hasa haya yanayofanyika Chini ya Mwezi mmoja ambayo hayapo kwenye Calendar ya FIFA na CAF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom