Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Huyu jamaa tukifanikiwa kukaa naye miaka mitano atatufikisha mbali sanaKaongea kweli kabisa,na tatizo kubwa ni TFF na ratiba yao isiyoeleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa kupitia wakati mgumu ila ndio hivyo hakuna namna ila bahati nzuri huwa hana kauli mbaya msikilize tuDuh! Huyu mwinyi zahera zahera jukwaa zima linamuongelea yeye tu, tumechoka sasa kulisikia jina lake. si aende basi madrid akacoach!
Na Haji Manara aende wapi akabwabwaje?Duh! Huyu mwinyi zahera zahera jukwaa zima linamuongelea yeye tu, tumechoka sasa kulisikia jina lake. si aende basi madrid akacoach!
Na Haji Manara aende wapi akabwabwaje?
Pole kwa kupitia wakati mgumu ila ndio hivyo hakuna namna ila bahati nzuri huwa hana kauli mbaya msikilize tu
Sent using Jamii Forums mobile app