mfinangasakina
Member
- Sep 30, 2016
- 25
- 17
Mimi nguo sikuwa na shida nazo, ila afya, nikajisemea kimoyomoyo kama kweli ni billionea, basi maradhi yanamfanya asifaidi pesa zake. Maana kuna ile limit pesa ya kununua chakula kizuri unayo lakini afya inakukatalia usile vizuri. Basi tufanye yameisha itapendeza!!Hahahhahahaha yaani si kwa kumpamba kule...sawa basi nguo hazionyeshi bilionea... jamani hata afya na ngozi????
Aloo mm pia nmekua chizi kwa kucheka baada ya kuona clip hiiMuhaya bwana, akijuwa kiingereza kidogo tu basi.
Atakuwa ni ndugu yakoNamfahamu huyu kazingua sana
Alisema 'mia Tisa itapendeza'!!Mzee Nouma aisee! Yeye alikua anasema itapendeza mill 800, au tufanye million 900
View attachment 627513 huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
Ishu hapa ameharibu Mnada na kuotoendana na mashart ya mnada,,,,ishu siyo hela ziko WAP.Ndio, kama mtu anamihela yake ipo uswis anaitoaje sasa muda huo huo? Unaijua 25% ya bilion 2 wew? Unawezaje kutembea nayo usawa huu?
Unataka kunambia kuwa hakuna watz wakawaida kabisa na wanamijihela yao uswis na nchi zingine za ulaya?
Hivi wewe unaelewa unachozungumza au ni walewale kama huyo mzee?, kama watu wangemdharau kwa muonekano asingekubaliwa kushiriki kwenye mnada na kushinda nyumba zote tatu, kitendo chake cha kushindwa kulipia 25% ya nyumba hata moja kama masharti ya mnada yanavyotaka ndiyo kinachofanya watu wamshangae.Wanachotaka yono ni pesa au appearance ya mtu? Wampe tu mzee wangu, akale bhata.
Watanzania tuache ushamba wa kumjaji mtu kwa macho. Huo ni umaskini ulio kithiri. Ndio maana tunachunguzana had majumbani tunakula nini.
Umbea tu basi.
Sasa si aliambiwa mapema masharti ya mnada?, kama alikuwa hana 25% kwanini ashiriki huo mnada?, hiyo maana yake huwezi kushiriki mnada kwa sababu ktk mnada wowote, vigezo ma masharti lazima yazingatiwe, kinyume cha hapo itaonekana kulikuwa na njama za kumpendelea huyo mzee na watu watakosa imani na dalaliNdio, kama mtu anamihela yake ipo uswis anaitoaje sasa muda huo huo? Unaijua 25% ya bilion 2 wew? Unawezaje kutembea nayo usawa huu?
Unataka kunambia kuwa hakuna watz wakawaida kabisa na wanamijihela yao uswis na nchi zingine za ulaya?
Waambie wanaume wakubwa afu picha na video ziweze humu.Ila da na mm nataka kuwa maaruf nifanye tukio gan hadimu maana hapa town ukitaka ujulikane fasta kiki tu ndio soln
sidhani kama unacheka kama mimi yaaani mbavu sinaView attachment 627513 huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
Waambie wanaume wakubwa afu picha na video ziweze humu.
Sasa hapo unajadili nin?Hivi wewe unaelewa unachozungumza au ni walewale kama huyo mzee?, kama watu wangemdharau kwa muonekano asingekubaliwa kushiriki kwenye mnada na kushinda nyumba zote tatu, kitendo chake cha kushindwa kulipia 25% ya nyumba hata moja kama masharti ya mnada yanavyotaka ndiyo kinachofanya watu wamshangae.