Huyu mzee ananifanya nionekane chizi

Namaliza kazi zangu sahivi nimefungua huu uzi naonekana kituko usiku hui mwenyenu nacheka [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji3]
wala sio peke yako mi ndio bado nacheka mpaka machozi, mzee kaua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani Mimi mpaka najisikia vibaya na aibu kuiangalia hii video utadhani ni Mzee wangu.. alafu anavyopanda nao bei sasa [emoji23][emoji23]eti tufanye mianane dahh kuna watu vichwa [emoji23][emoji23][emoji23]. Kweli vyuma vimekaza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…