Huyu mzee ananifanya nionekane chizi

Mzee kaamua kujizolea kiki....Kwa hizo figure alizokuwa anaruka nazo angeweza hata kulala na hao wadada wa Yono baada ya mnada kuisha tu.
25% ndio imempindua chali otherwise baada ya masaa kadhaa angeweza kung'oa kina hawa wa kutosha na kuspend nao kwa mtaji wa laki 2/3.
 
Ni kwel maana warembo kwa pesaa walianza kuleta shobo hapo
 

Hii post nimeielewa sana, rulers have set the precedence.

Kwani anaweza kuhukumiwa kwa kosa gani?
 
Namaliza kazi zangu sahivi nimefungua huu uzi naonekana kituko usiku huu mwenzenu nacheka [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji3]
Stori ya huyu mzee Jana imenifanya nyumbani wanione chizi tena wananiuliza mwenzetu Leo mbona bize hivyo halafu wacheka pekee yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23] alisema 900(in docta's voice)na sio milioni 900 jaman.hamkumuelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mm waliponiua ni hao wanaompepea dah nahisi walishaanza kumuomba na namba ya sim...maana wadada walijiongeza sana mzee hadi anafutwa jash[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Mkuu usicheze na PESA kabisa tena ukishatamka bilioni mbele ya hadhira aisee hata maji ya kunywa watakuambia usiyanywe mzee tunakunywesha mzee usipate shida
 
Huyu mzee namfaham, ni madr. wa mwanzo kabisa kugraduate urusi mwaka 1969 kutoka Tanzania. Mara nyingi mida ya jioni huwa anapatikanika pale library ya Indian cultural center, kisutu.

Hivyo c vyema kumpimia mtu kwa macho, huwezi jua amejipanga vipi
1969 ?
Mbona kitambo sana mkuu.
 
Jana ilikua siku yake murua kabisa kulala na mrembo wa bongo movie, basi tena bank wamekatisha ndoto zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…