shabani kanjibah
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 154
- 76
Mhhhugumu wa maisha umemfanya huyu mzee amwambie mkewe asije dar
noma sana jaman
pole yake
Mbona huu uzi ni wako mwenyewe, umeanzisha ww bado unachangia ww mwenyewe tu!!Mhhh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aseeeeMbona huu uzi ni wako mwenyewe, umeanzisha ww bado unachangia ww mwenyewe tu!!
Jipe na likes basi.
Kumbe na ww umeona eee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aseeee
Kuna kitu kinanichanganya kila nikitaka kukifuta nashindwa ndio najikuta napagawa samahan lakinKumbe na ww umeona eee
Hayo ndiyo matatizo ya kutumia smartphone ukubwani shabani, achana na social media umri ushakupiga chenga.Kuna kitu kinanichanganya kila nikitaka kukifuta nashindwa ndio najikuta napagawa samahan lakin