Alikuwa wapi akatoa huo ushauri?
lakini Ndio hivyo ashapata wafuasi lukukiJiongezen MUGABE hana time na keyboard that much!
Ni MTU tu kajivika uhusika kuvuta makini ya wasomaji kama akina Trevor Noah na Mashadzi
Nimekusifia tabia njema mkuuNimefanyaje tena swahiba? Unaniharibia udhu ujue...
Afadhali. Ukubwa ni kusitirianaNimekusifia tabia njema mkuu