Huyu Mzee watamuua kwa presha

Huyu Mzee watamuua kwa presha

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
667
Reaction score
1,582
Hakuna Siri kwa anachopitia huyu Mzee Misiba ya watu wake wa Karibu na anaowaamini wanavyouwawa kila uchwapo

Pole Wayahudi wamekusudia kumuua kwa maradhi ya Pressure tu kutokana na umri wake kama walivyomuua kwa kihoro na pressure Abdul Nassir wa EGYPT aliekuwa Kiongozi mkuu kishawishi katika umoja wa kuifuta Uyahudi Kwenye ardhi ya Ahadi

Mikoba Hiyo kwasasa ameamua kuichukua Mzee Ayatollah Khamenei ambae kiumri amefika 80 maana Israel anapiga kulia na kushoto na Utu uzima unamfanya Mzee asichutame kwa aibu.

20DE0DFE-2BB8-4458-83AC-1370D6C61027.jpeg
 
View attachment 3058638
Angeachana na vita asivyobiweza dhidi ya Israel
Atakufa kweli Kama yule wa Misri
 
Hakuna Siri kwa anachopitia huyu Mzee Misiba ya watu wake wa Karibu na anaowaamini wanavyouwawa kila uchwapo

Pole Wayahudi wamekusudia kumuua kwa maradhi ya Pressure tu kutokana na umri wake kama walivyomuua kwa kihoro na pressure Abdul Nassir wa EGYPT aliekuwa Kiongozi mkuu kishawishi katika umoja wa kuifuta Uyahudi Kwenye ardhi ya Ahadi

Mikoba Hiyo kwasasa ameamua kuichukua Mzee Ayatollah Khamenei ambae kiumri amefika 80 maana Israel anapiga kulia na kushoto na Utu uzima unamfanya Mzee asichutame kwa aibu.

View attachment 3058638
Iran ni taifa teule pia. Usiniulize limeteuliwa kufanya nini.
 
Kwahy mtoa mada umesema kuwa jamaa anafilimbwa bila kuguswa eee 😎
 
Tumemshauri aachane na hizo mambo za kusponsa magaidi amekataa..amesema yeye ana hamu ya mabikra zake 72 huko ahera.
Gaidi mkuu ni Israel.
Kama Israel asingekua mvamizi wa mataifa ya Watu basi hayo makundi yasingekuwepo
 
Back
Top Bottom