Angeachana na vita asivyobiweza dhidi ya IsraelHakuna Siri kwa anachopitia huyu Mzee Misiba ya watu wake wa Karibu na anaowaamini wanavyouwawa kila uchwapo
Pole Wayahudi wamekusudia kumuua kwa maradhi ya Pressure tu kutokana na umri wake kama walivyomuua kwa kihoro na pressure Abdul Nassir wa EGYPT aliekuwa Kiongozi mkuu kishawishi katika umoja wa kuifuta Uyahudi Kwenye ardhi ya Ahadi
Mikoba Hiyo kwasasa ameamua kuichukua Mzee Ayatollah Khamenei ambae kiumri amefika 80 maana Israel anapiga kulia na kushoto na Utu uzima unamfanya Mzee asichutame kwa aibu.
View attachment 3058638
Iran ni taifa teule pia. Usiniulize limeteuliwa kufanya nini.Hakuna Siri kwa anachopitia huyu Mzee Misiba ya watu wake wa Karibu na anaowaamini wanavyouwawa kila uchwapo
Pole Wayahudi wamekusudia kumuua kwa maradhi ya Pressure tu kutokana na umri wake kama walivyomuua kwa kihoro na pressure Abdul Nassir wa EGYPT aliekuwa Kiongozi mkuu kishawishi katika umoja wa kuifuta Uyahudi Kwenye ardhi ya Ahadi
Mikoba Hiyo kwasasa ameamua kuichukua Mzee Ayatollah Khamenei ambae kiumri amefika 80 maana Israel anapiga kulia na kushoto na Utu uzima unamfanya Mzee asichutame kwa aibu.
View attachment 3058638
Limeteuliwa kufanya ugaidiIran ni taifa teule pia. Usiniulize limeteuliwa kufanya nini.
Limejiteua...Limeteuliwa kufanya ugaidi
Gaidi mkuu ni Israel.Tumemshauri aachane na hizo mambo za kusponsa magaidi amekataa..amesema yeye ana hamu ya mabikra zake 72 huko ahera.