Huyu mzungu alijitoa kafara? Michezo mingine inataka moyo sana!

eeeeh jamani jamani huyo kajitoa network si bure
 
Jamaa huyo yupo South Africa.... na hiyo ni sehemu ya maisha yake ya kila siku...
 
Jamaa huyo yupo South Africa.... na hiyo ni sehemu ya maisha yake ya kila siku...
waambie hao maana wanadhani ni photoshop!
ila huyu jamaa hapo hakosi chamoto kwani siku hao wakicharuka atapiga viwili hewani na wanatimua mbio!
 
Hao wanyama wamefundishwa jinsi ya kuwa wapole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…