Huyu na yeye anajiita JAY MASWAGGER ame copy wimbo wa marehemu SHARO Millionea

Papizo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
4,951
Reaction score
1,446
Wakuu hii tabia naona sasa inaeendelea hapa bongo kwenye music, maana vijana wanapenda sana mteremko na kutoka kwa kutumia migongo ya watu, sasa huyu jamaa anajiita JAY MASWAGGER, ame copy huu wimbo hapa

Changanya Changanya Sharo Milionea Ft. Ali Kiba New music Ugrecords1 - YouTube

Ilikuwaa ni Audio ilikuwa video yake haijatoka ila yeye ameamua kutoa video nakucopy everything, wimbo wake huu hapa chini

JAY MASWAGGER - YOTE MAPENZI (Official Video) - YouTube

Ndio maana vijana wengi wakingia kwenye Tasnia ya muziki hawakai kwa ma mrefu kwa sababu ubunifu zero hamna kitu kabisaaa na kufiria ni vigumu pia.
 
dah mchizi shity 2 anapenda virahc kwann acwe mbunifu atoke kivyake
 
Et mwenyewe mwanzon kaenda kwa mganga na kumwambia "anataka kuwa kama sharo milionea" den producer wa hiyo audio yupo pia kwenye icho kichupa inaonekana wamekubaliana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…