Huyu na Yule (Lyrics) - Fid Q

Huyu na Yule (Lyrics) - Fid Q

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,249
Reaction score
1,813
Huyu na yule
Huyu faida yule bure
Huyu na yule
Ee hee ee hee ee hee ee hee

Huyu na yule
Huyu faida yule bure
Huyu na yule
Ee hee ee hee ee hee ee hee

Mmoja anaingia mmoja anatoka
Huyu kazi anaililia yule kaichoka
Mmoja anazaliwa mmoja anakufa
Shimoni anafukiwa kwani ni ruksa
Viumbe hawa wanapumua pasipo ya bugza
Mmoja anajuta kuugua mmoja anapona
Huyu anaiba anakimbia yule anachomwa
Huyu anafungwa kwa wizi yule anakoma
Huyu amezidi kwa uzinzi yule msodoma
Wanawapotevu wanalilia kumcha Mungu
Huyu anacheka kwa furaha yule anauchungu
Huyu ni bingwa kampiga yule ana nundu
Dalala jamaa kondakta bubu
Hautaki niwe nao yule anahusudu
Kama wewe ni goigoi basi wapo walio na nguvu
Mchunge houseboy bosi usizidiwe utundu
Alivunga amemchunguza
Nimekosea nimekosea hiyo huu mstari
Eebana twende
Yule kamuacha mkewe wengine wameunga undugu
Nsifikirie kuachia ngazi ka mziki na maisha ya Sugu
Huyu ni mtu wa uwazi yule anaficha
Mtu huyu ananivutia yule anantisha

Huyu na yule
Huyu faida yule bure
Huyu na yule
Ee hee ee hee ee hee ee hee

Huyu na yule
Huyu faida yule bure
Huyu na yule
Ee hee ee hee ee hee ee hee

Yule ni mtu wa kugeza huyu anabuni
Huyu wengi wanampenda yule ana damu ya kunguni
Huyu analia juu ya meza yule analia sakafuni
Huyu ni mnyonge mchafukoga yule anaingia bafuni
Huyu mademu yule sabuni
Huyu anazini nje ya ndoa hivi ni mejnuni
Eti anabisha baada ya tisa haiji kumi
Inadharaulika amri ya sita zaidi ya emcee katuni
Huyu anapenda wingi wa beat yule kidogo
Yule akijiingiza kingi huyu ana nyodo
Huyu ana moyo safi yule kinyongo
Huyu anatembelea shangingi hivi ni kigogo
Hawa ni wazee wa kiswahili si si wabongo
Alivyo ndivyo alivyo yule kinyonga
Huyu ana majisifu yule anapondaa
Yule ni mtu wa kuchuna yule anachonga
Yule anarudi nyuma huyu anasonga
Mi na morale ya ushujaa sio ya uoga
Mochwari siku hizi balaa ukifiwa andaa fedha ya kuhonga
Usiwe na mkono wa birika uwe unatoa
Huyu hufanya kadri ya uwezo yule hukomoa

Huyu na yule
Huyu faida yule bure
Huyu na yule
Ee hee ee hee ee hee ee hee

Huyu na yule
Huyu faida yule bure
Huyu na yule
Ee hee ee hee ee hee ee hee
 
Tunaendelea

Huyu anang'ang'ania, yule anaachia/
Huyu anameza, yule anatema/
Samia walimsifia, Yule wakamponda/
Yule wanamkumbuka, huyu wanamsema/
Huyu mbaya, yule mzuri ila hana chema/
 
Back
Top Bottom