LGE2024 Huyu Nape Nnauye ndio kutuita wananchi Nungaembe! "Mkiweka Nungaembe ni Hasara"

LGE2024 Huyu Nape Nnauye ndio kutuita wananchi Nungaembe! "Mkiweka Nungaembe ni Hasara"

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye katika eneo la Kiwalala katika Jimbo la Mtama Mkoani Lindi, amefunga mkutano wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoani Lindi na kuwataka Wananchi wajitokeze kwa wingi kesho kupiga kura huku akionesha kuchukizwa na manenomaneno ya ugomvi ndani ya CCM.

Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
PIA SOMA
- LGE2024 - Nape: Kimebaki chama kimoja tu vingine vyote ni kopi. Niliwaambia wapinzani Refa akishaweka mpira kati ni Goli!
 
Kumbe maendeleo ya hiyo sehemu si wajibu wa serikali Bali ni hisani tu. safari bado ni ndefu Kwa maneno hayo aliyoongea kwenye video hiyo.
 
Nape bado hajakaa sawa kiakili kufuatia kutumbuliwa uwaziri pamoja na watu wake wa karibu waliomtakia maisha mema nje ya uwaziri.
 
Back
Top Bottom