Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Huu mtihani kweli kwasababu wewe unaogopa yeye ni mhuni atakuacha single maza, yeye anaogopa wewe ni mhuni una mtu wako mwingine.....

Sasa mkishindwa kukubaliana kitu kimoja itabidi hadithi yenu iishie hapo lazivyo mtaanza vituko....

[emoji19][emoji19][emoji19]
 
Sasa ushauriwe nn?? Huyo anayekupa shariti la mimba ndio muoane .

Huoni ni muhuni tu ?? Huyo muhuni tu kama walivyo wengine.

Yaaaan ni Bora kama umeamua kuzaa tu naye basi, Sio akudanganyee kifalafala Ivo.

HANA MPANGO WA KUKUOA HUYO.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…