Huyu ndie masikini mkubwa.

Alex77

Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
6
Reaction score
1
Salaam,

Dungu wana Jamii, wengi wenu najua mmekuwa mkitafakari sana juu ya neno hili ''Masikini mkubwa'' watu wengi wamekuwa wakiwaambia wengine kuwa ni masikini wakubwa, na neno hili baadhi ya watu wamejaribu ku-point kwa nchi yetu (Tanzania) pamoja na watu wake, embu tuangalie maana halisi ya masikini mkubwa na nani haswa ndie;


MASIKINI MKUWA;

Masikini mkubwa ni yule aaminiye moyoni mwake na kisha kusema kwenye midomo yake kwamba ''Kuna watu walizaliwa wawe wakuu na kuna watu walizaliwa wawe watumwa''

Mungu hajawahi kuumba mtumwa au masikini kwasababu kila mtu aliemuumba alimuumba kwamfao wake yeye (MUNGU) Ili aishi maisha bora na yenye maana.

Ukiona mtu anatetea ''Utumwa,unyonge,umasikini wake'' basi ujue huyo ameshavrugwa.

Mungu akaona kuwa; kila kitu alichokiumba ni chema . . .

UKOMBOZI WA KWANZA WA TU NI KUFIKIRI MFUMO WAKE WA KUFIKIRI.

Je, ni haki sie watanzania kuitwa masikni.?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…