Huyu ndie mwanamke mwenye bahati kuliko wote?

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Kuna mdada hapa mtaani namsikia anamsifu
mumewe kuwa hakuna mwanaume muaminifu
kama mumewe, kwa kuwa toka jamaa kanunua
simu ni mwaka wa 3 na kila akiaangalia simu,
Inbox- Empty, Sent Items- Empty, Outbox-
Empty...naomba tumpigie makofi mdada huyu...!!
 
Hahahaha kapata mwanaume mwaminifu sana.

Kumbe ata mimi ni mmoja ya watu waaminifu. Maana na mesage za tigo voda airtel na halotel kwenye simu zangu hakuna nyingine.

HONGERA CHUMA CHA MJERUMANI
 
Hahahaha...kivyote vyote vile mumewe anamuheshimu sana huyo Mkewe.
 
Kuna mdada hapa mtaani namsikia anamsifu
mumewe kuwa hakuna mwanaume muaminifu
kama mumewe, kwa kuwa toka jamaa kanunua
simu ni mwaka wa 3 na kila akiaangalia simu,
Inbox- Empty, Sent Items- Empty, Outbox-
Empty...naomba tumpigie makofi mdada huyu...!!
hahahahhaa wajinga ndo waliwao.. ila hii kama ya kutunga mkuu stunter [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kunakuwaga na visimu toka kinunuliwe hakijawai kuvuka mlango wa kuingia ndani. Kinaishi kwenye Gari tu maisha yake yote!! Hongera mume mwaminifu
 
hahahah ni shider me sioni kama huo ni uaminifu just ujanja ujanja tuu
 
Hahahaha kapata mwanaume mwaminifu sana.

Kumbe ata mimi ni mmoja ya watu waaminifu. Maana na mesage za tigo voda airtel na halotel kwenye simu zangu hakuna nyingine.

HONGERA CHUMA CHA MJERUMANI
Hahahaha... Angalia usije ukageuzwa PLASTIKI YA U-CHINA
 
Basi hata na mm nitakua mke muaminifu.
Mana cm yangu haina sms zaidi ya za mume wangu.siku hizi hana hata muda wa kuikagua

Hakuna mke muaminifu km mm.
Naomba mnipigie makofi tafadhali.
 
Kuna mdada hapa mtaani namsikia anamsifu
mumewe kuwa hakuna mwanaume muaminifu
kama mumewe, kwa kuwa toka jamaa kanunua
simu ni mwaka wa 3 na kila akiaangalia simu,
Inbox- Empty, Sent Items- Empty, Outbox-
Empty...naomba tumpigie makofi mdada huyu...!!

!
!
Hehehehe ngojea ninyamaze aisee
 
Uyo jamaa atakuwa na michepuko tu, kuwa na mchepuko ni tabu sana maana unaweza futa ata sms ambazo ujazisoma, Baki njia kuu
 
Kunakuwaga na visimu toka kinunuliwe hakijawai kuvuka mlango wa kuingia ndani. Kinaishi kwenye Gari tu maisha yake yote!! Hongera mume mwaminifu
Anhaa kumbe ndio teknik mupya????
 
Hata mimi Empty,,kila sehemu empty,, mpaka whatsup Empty,,
 
Back
Top Bottom