hahahahhaa wajinga ndo waliwao.. ila hii kama ya kutunga mkuu stunter [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mdada hapa mtaani namsikia anamsifu
mumewe kuwa hakuna mwanaume muaminifu
kama mumewe, kwa kuwa toka jamaa kanunua
simu ni mwaka wa 3 na kila akiaangalia simu,
Inbox- Empty, Sent Items- Empty, Outbox-
Empty...naomba tumpigie makofi mdada huyu...!!
Hahahaha... Angalia usije ukageuzwa PLASTIKI YA U-CHINAHahahaha kapata mwanaume mwaminifu sana.
Kumbe ata mimi ni mmoja ya watu waaminifu. Maana na mesage za tigo voda airtel na halotel kwenye simu zangu hakuna nyingine.
HONGERA CHUMA CHA MJERUMANI
Kuna mdada hapa mtaani namsikia anamsifu