Huyu ndie Rais wa 2030 anayetafutwa

Wajibu wa rais( Samia).
1. Kwanza ana wajibu kwa wazazi wake.
2. Halafu kwa mume wake na watoto wake.
3Rafiki zake
4.Mawaziri
5.Askari.
6. Raia.
7Watu wa Mungu.
8.Ndege na wanyama.

Pamoja na Amri Kumi za Mungu.
 
Mkuu, pamoja na hoja zako mzuri lakini para ya 24 mimi nadhani kwa hali ilivyo sasa hivi hapa kwetu, umri huo hautafaa kwa maana akiwa ndani ya uongozi na baada ya kumaliza muda wake miaka 10, atakuwa na matamanio ya kujitajirisha ndani ya madaraka.
 
Mkuu umenena vyema, sasa Rais wao atakuwa nani, ili hiyo RUSHWA iishe?
 
1.PAUL CHRISTIAN MAKONDA
2.JOSAPHAT GWAJIMA
3.HUMPHREY POLEPOLE
4.KASSIM MAJALIWA

KWENYE UPINZANI SIONI HATA MMOJA LABDA

DR WILBROD SLAA { UMRI KIKWAZO SANA
Mkuu kwa hapa tulipofikia tunahitaji Rais mwenye umri mkubwa, maana hatakuwa na tamaa za Kiutawala, kiumri na hata naweza kutupatia Katiba ya Nchi kama ile ya Mzee Warioba.
 
Muonaji ninakupongeza Sana kwa Uchambuzi wako ulio huru hujabebwa na hisia zako binafsi au Mahaba na Chama chochote Kazi nzuri sana hii umeandika kwa Kutulia,Machapisho kama haya yanaleta Heshima kwa Jf
Ubarikiwe sana.!
 
These people speak as if the world revolves around Tanzania. The stability of our region, East Africa, which is a donor based Economy depends much on the dynamics of the Global Economy and Politics.

If anything happens in the Ukraine, The Middle-East or Taiwan, you'll surely not even have a General Elections in 2030, let alone having Tanzania as a unified state, without being pulled into a VORTEX of violence affecting all mineral rich states.

Africa is a critical continent, rich in minerals that can drive the Fourth Industrial Revolution. In the coming decades we'll witness brutal a Mineral Rush and a Brutal Cold-War fought here in Africa by Great Powers vying for control of critical minerals.

With all the Ufisadi, Upimbi, Uchawa, Ubazazi and Ujingaz of our leadership, I'm not optimistic that Tanzania as a country can survive such a competitive environment.

Just Speculating! obviously....
 
Tatizo ni kuwa masikini wa Tanzania wanatamani kuona Tajiri wa Tanzania akipata shidaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…