Huyu ndie Rais wa 2030 anayetafutwa

Rais ajaye ni lazima atoke sayari ya Neptune! La hasha tumsubiri Mwl Nyerere arudi
 
Kila nikisoma hizi sifa zilizobainishwa hapa, najiona ni mimi mwenyewe kabisa!

Stataka ujinga ujinga kwenye awamu yangu!

Jipangeni kisawasawa kila mtu pahala pake, Sheria ya kunyongwa hadi kufa nitaisaini mapema tu baada ya kutimba Ikulu na mswaada utaanza kuandaliwa kipindi tu naanza mchakato wa kuomba kura

Mtanisamehe watangulizi wangu, kama mlilinda waharifu, hao wote kwa utawala wangu watakula shaba wote

Tunataka Tanzania, mtu akisahau simu yake Tandale hata akienda kesho yake aikute ipo palepale
 
Mungu wetu hatuletei Rais kutokana na imaginations hizo. Atatokea mtu ambaye hata hayupo kwenye hizo list. Sitashangaa kuwa ni mimi.
 
kwanini iwe 2030 na isiwe 2025? kipi hakiwezekani? kwanini hawa watu tumewapa haki ya kutawala 10 hata kama hawafikii hitaji letu?
yaani tumezungukwa na genge la wahuni wanaojilimbikizia mali na kuwanyonya watanganyika vitu vikiuzwa, ardhi ikiuzwa nchi watu wetu wakinyanyaswa na sehemu zao kuchukuliwa kwa kigezo cha wawekezaji? vijana wetu wakiteketea kwa Energy, bodaboda na madawa ya kulevya.
halafu tunainua midomo yetu tunasema Mitano tena! kweli hii inawezekana chawa wa Tanganyika ni mkubwa kuliko tembo.
 
MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDAMAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA MAKONDA...NDIE KIPENZI CHETU
 
Sifa zote mm ninazo
 
Nje /ndani ya Box ushaambiwa wenyewe washinda mkuu.Usiumize kichwa.
 
Rais ajaye ni Doto Biteko. Ndie mtu unaweza kunishawishi ndani ya CCM nimpigie kura. Akifuatiwa kwa mbali na Mwinyi, Kisha Majaliwa. Wengine labda nje ya waliopo. Au wanaojulikakna
 
Wengine wanasema ni January Makamba anazo
 
Nawatajia Rais ajae😞😞

1. Mwigulu Lameck Nchemba
2. David Zacharia Kafulila
3. Hussein Ally Mwinyi
hawa wote hawatakuja kuwa marais.kafulila hafai hata chochote kwasababu ya kiburi na dharau. mwinyi hawezi kutawala kwasababu ameihujumu sana Tanganyika awamu hii, mwigulu watu hawataki hata kuiona sura yake. Mungu anao wa kwake atawaleta ila sio hawa, na lazima awe mkristo na sio mzanzibari kwasababu zamu zao zimeshapita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…