Huyu ndie Rais wa 2030 anayetafutwa

1. Lazima kama Taifa tukubaliane kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030 Watanzania watataka rais wa kupambana na rushwa na ufisadi hili halina ubishi kwa walio wengi.

Anakosa Sifa ya kwanza kabisa GSM atabubujikwa na machozi
Makonda bado ni kijana safi
 
Raisi ajaye atatoka CCM na hawezi kuwa na tofauti na raisi aliyepo madarakani hivyo wala msijipe moyo. Hali itakuwa mbaya zaidi unless otherwise yatokee machafuko serious kiasi kwamba nchi isikalike
 
Anza na WA 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…