Huyu ndie rais wa kwanza wa Marekani

Tangu tanzania ipate uhuru 1960s marekan imetawaliwa na rais 10 tanzania ni 5 tuu
 
Hakuwahi pata mtoto.
Siku alipoachia ngazi alihutubia Taifa/Congressmen akiwa anatetemeka vibaya mno. Walimpa muda atafakari uamzi wake kabla ya kukubaliwa kung'atuka.
 
Jibu la swali lipi nililouliza?
Rais wa kwanza wa nchi hiyo hakuwa huyo uliemtaja hapo juu,kama umeona Kuna memba kaja list nzima ya marais wote wa marekani,
Asante
 
Rais wa kwanza wa nchi hiyo hakuwa huyo uliemtaja hapo juu,kama umeona Kuna memba kaja list nzima ya marais wote wa marekani,
Asante


Oooh, ni vyema umekiri kuwa mimi sikuuliza ila umeona "memba kaja (na) list nzima ya marais wote...". Na ukafikia tamati kuwa huyo "memba" ananijibu mimi. Unanshangaza!

Napenda ufahamu kuwa ile post nimeiweka na link ambayo inakupa historia nzuri sana ya Marais wa US na kwanini yule ni Rais wa kwanza na kwanini George Washington ni Rais wa kwanza.

Historia ya US, kupata "uhuru" wake, Marais wake na hata namna kura zao zinavyokwenda si vitu vya kuchukulia kama kwetu huku, wapo tofauti sana.

Nnakumbuka hata nilipokuwa chuo tulisoma kuhusu μ-law na A-law kwenye algorithm za electronics, basically hivyo ni sawa lakini tofauti. Na utofauti uliopo nikiufikiria sana hapo ni complications tu za nani zaidi.

Kwa hiyo, fata link niliyoweka soma ujifunze usiyoyaelewa.

Si ushindani ni kupanuana mawazo tu.
 
Watu wanakuita kibibi cha kijadi
 
Baba gani wa taifa huyu anaachia nguvu ya dola mapema hivyo?
 
hiv kwenye hii list kuna trump type
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…