Huyu ndio binadamu maarufu duniani, hadi wewe unamjua...

huuu yupo juu ..yani sisi kama nchi tupo million 45 (sensa2012) jumlisha na wenzetu wengine tumemfolo tehe tehe
 
tunataka tuweke kituo cha kurisiti mitihani nifah we team messi nini...!
mwaka huu uefa ndoo ya kumi na moja tunabeba!!
Mimi ni Arsenal, Real Madrid damu mama....sijawahi kumpenda Messi wala Barcelona yake.
 
Last edited by a moderator:
Anajulikana kwa mengi ikiwa na uwanamitindo pia
 
Wadunde midundo yao ila hakuna anayemzidi umaarufu Michael Jackson....sio vijijini wala mjini kote beki hazikabi
 
mnh! habari za kituo cha kurisiti humo humo, mambo ya nifah na Messi wake humo humo!!! Au umei-miss syllabus ya Mungai??!!!!

hhhahaaaa si unatka darasa ndo nimekujibu sasa
nifah ye nlifkiri hampendi cr7
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…