Huyu ndio Carl Peters almaarufu "mkono wa damu" anayechukiwa mno na Watanzania

Safi mkuu umejitahidi kudadavua ujio wa Carl Peter na matukio yake, elimu hiyo ndo inatakiwa kufundishwa kwa kina hivyo hata mashuleni
 
...Mwaka le wa Elininyo nilibahatika kupita Msowelo. Daraja la Wami Dakawa lilikuwa halipitiki. Magari yalilazimika kuchepuka kama yanaenda Kilosa (uelekeo wa Kusini ukiwa Dumila), kisha yakaelekea mashariki (kui"tafuta") barabara Ku ya TANZAM, na kwenda Morogoro. Tulipita Msovelo (tamka Msowelo)....Nikakumbukuka ya Kali Pitaz...
 
Sure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simulizi nzuri sana. Hongera. Kama waweza hebu ongeza namna Ziwa Nyassa lilivyoleta sintofahamu kupitia mkataba wa Heligoland
 
Kwetu sisi tunamiona tapeli na mlaghai na tunamlaani! Wakati ujerumani wanamuona shujaa, mtakatifu, mzalendo wa kweli
 
Sitaki hata kumsikia jina lake huyu shetani mkubwa.Watu kama hawa ndo waliotuvuruga kama nchi mpaka leo hatujielewi. Hatuna kichwa wala miguu. Ningefurahi kweli kama mwandishi angeandiaka kwamba huyo ndo shetani alieharibu nchi yetu na kutupotezea miaka kama 100 ya maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…