Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,603
- 1,135
- Thread starter
-
- #21
Beat Lionel Messi to finish top scorer in this season's Champions League
Huyo Jamaa huwa naonaga post zake ata Kule jukwaa la Mahusiano ni za hovyo sana...na ndio maana sija comment kabisa kwenye Huo Uzi wake Wa kuwaponda fans wa Cr7...ni moja ya watu wanaopost upuuzi humu JF ukizingatia hao ni MESSI FAN BOYS Hawawezi furahia records za Cristiano na lazima waponde ukizingatia Huyo mtu wao hawezi beba Ballon D'or this season ni jambo ambalo lipo wazi kabisa.
Halafu cha kushangaza kuna mtu akatengeneza tbread akiwaponda wote wanaomshabikia Ronaldo. Kuna watu wana akili fupi hapa duniani looh..
Huyo mtu ni GENTAMYCINE alileta uzi wa kukashifu watu wote wanaomshabikia CR7. Hizi record si za kitoto hata kidogo.