Nyie ni vilaza kweli kwahiyo tokaa awe mfungaji bora mara 5 mfululizo ndo atakuwa bora kuliko Messi? mbona Cr7 toka aje spain 2009 ameshinda laliga mara 2 tu...mbona hilo Hamsemi?? Mbona messi kashinda 4 consecutive ballon dor nalo hilo hamsemi?? Mbonaa Messi amemshinda Ronaldo El classico Nyingi Nalo Hamsemi?? Mbona rate ya ufungaji ya Messi ni 0.8 per match na Cr7 ni 0.7 Mbona Hilo Hamsemi??
Finally ata Malegend wa soka washasema Messi is Best More than Ronaldo.....kamsikilize Ferguson....wenger...zidane....Figo... De Lima na wengine Kibao tena wote ni wanaojua mpira kuliko ata sisi...!
ila CR7 ni wanawake wengi wamejitokeza wakidai kwamba ni bora Kuliko MAGICAL MESSIAH1
[HASHTAG]#Gongelea[/HASHTAG] na Nyundo