halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,096
- 5,254
[emoji23][emoji23][emoji23]Wajina alidai serikali ihusike juu ya yeye kukosa K mara ghafla anasema hawezi enjoy tendo? Atajikuta jela tena.
Sasha[emoji16]Mtoto wa obama angemuweza kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Matatizo ni kama makalio kuna wenye makubwa na kuna wenye madogo. Hakuna anaekosa.
kudadadadadadeiikkama ndio yeye ndugu zake wampeleke hospitali hali ni mbaya upstairs View attachment 1683269
Hebu tueleze sasa mwenye makubwa na madogo yupo mwenye afadhali, maana kwa makalio duh!Matatizo ni kama makalio kuna wenye makubwa na kuna wenye madogo. Hakuna anaekosa.
bora yule ni mzima ila anajitoa ufahamuHuyu jamaa na yule Hakika Reuben nahisi watakuwa wanashea baba