Huyu ndio director aliyefukuzwa kazi na Wema Sepetu kutokana na kuzigeuza gari za kampuni guest

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimua aliyekuwa director wake maarufu kwa jina la Chid ni ufuska uliokubuhu wa director huyo ambaye alikuwa akitumia magari ya Wema Sepetu kama gest ya kumaliza haja zake.

Wema aliamua kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa ambayo ingeweza kuikumba kampuni yake

Habari zaidi zinaarifu kuwa baada ya kupata taarifa hizo Wema aliamua kumtimua Chid kwenye kampuni yake ili kulinda heshima ya kampuni hiyo ambapo Chid na vijana wengine walikuwa wakitumia gari hiyo kung'olea watoto wakali na kuwachapa ndani ya gari hiyo.

"Hii ilitokana na upendo wa mashabiki kwa Wema na wasichana wengi walikuwa wakiiona ile gari wanaingia wenyewe kwenye gari wakidhani ndani yuko Wema, hivyo ilikuwa ni nafasi nzuri kwa Chid na wenzake kuwamaliza wasichana hao"
 
Nilidhani director Yule "Bwabwa" kumbe sio! ok bye!
 
Anatafta pick kuondoa stres za domo..ye mbna wanamnanhno ofisin ..shamba kwel uyu mtoto
 
yeye mwenyewe wema hajawahi kugongewa kwenye hayo magari hayo?:smile-big:
 
Back
Top Bottom